>

KITAWAKA LEO SPURS V UNITED,POGBA ‘OUT’

LEO Oktoba 30 kutakuwa na mchezo mkali wa Ligi Kuu England ambapo Manchester United watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tottenham Hotspur.   Manchester United wamekuwa kwenye mwendo wa kusuasua hivi karibuni sawa na Spurs pia nao hawapo vizuri licha ya kupewa nafasi ya kusinda mchezo wa leo utakaopigwa saa moja usiku….

Read More

PRINCE DUBE NA NYOTA HAWA WATATU KUIKOSA YANGA

UKISUBIRIWA muda tu kwa sasa kwa matajiri wa Dar, Azam FC kumenyana na Yanga leo Uwanja wa Mkapa nyota wake wanne wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo kutokana na sababu mbalimbali. Mchezo wa leo ni wa Ligi Kuu Bara ambapo kila timu inapambana kuweza kufikia malengo iliyojiwekea kwa msimu wa 2021/22. Kwa mujibu wa Vivier Bahati,…

Read More

OLE BADO YUPO SANA MANCHESTER UNITED

Kocha Mkuu wa Manchester Unite, Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kubaki na kuendelea kuinoa timu hiyo licha ya mwendelezo wa matokeo mabovu hususani ya bao 5-0 aliyapata juzi baada ya kupigwa na Liverpool, Sky Sports Italia imethibitisha.   Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Manchester, Richard Arnold jana alivunja appointment zote za vikao vya wageni ili kukutana na Mmiliki wa Klabu hiyo, Joel…

Read More

NABI AWAPA MAAGIZO WACHEZAJI WAKE

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia kuwa wanauwezo mkubwa wa kufunga mabao mengi katika kila mchezo ikiwa tu wataamua kuzitumia vizuri nafasi wanazopata.   Nabi ametoa kauli hiyo baada ya mazoezi ya juzi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam unaotarajia kupigwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar….

Read More

HUKUMU YA MORRISON NA CAS KUTOLEWA

TAREHE ambayo hukumu ya kesi kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Bernard Morrison ilikuwa imepangwa, imesogezwa tena mbele hivyo inatarajiwa kutolewa Novemba 23, mwaka huu. Wakili wa Yanga, Alex Mgongolwa ametoa ufafanuzi kuwa hukumu hiyo itatolewa siku yoyote kuanzia sasa mpaka Novemba 23, kwa mujibu wa taarifa waliyopewa na CAS.   Mahakama hiyo ya…

Read More

KOCHA YANGA AOMBA KAZI SIMBA … SOMA HAPA

KATIKA rundo la CV ambazo Simba imezipokea kwa ajili ya nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo, kuna majina ya makocha kadhaa waliowahi kuifundisha Yanga. Simba sasa inasaka mrithi wa Mfaransa, Didier Gomes, aliyetangaza kujiuzulu klabuni hapo baada ya matokeo mabaya kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.   Baadhi ya makocha waliowahi kuifundisha Yanga wanaitajwa zaidi…

Read More

KIUNGO HUYU KUSEPA MANCHESTER UNITED

KIUNGO wa Klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England, Paul Pogba ataondoka bure ndani ya kikosi hicho msimu wa 2021/22 utakapomeguka kwa kuwa mabosi wa timu hiyo wamethibitisha kwamba hawatamuongezea dili jingine. Mwishoni mwa msimu huu Pogba mkataba wake utameguka na kuanzia Januari 2022 atakuwa huru kufanya mazungumzo na klabu nyingine ambayo inahitaji saini…

Read More

KOEMAN APEWA MKONO WA KWAHERI BARCELONA

RONALD Koeman amefutwa kazi jumlajumla ndani ya kikosi cha Barcelona kinachoshiriki La Liga nchini Hispania ikiwa ni baada ya miezi 14 kutumia katika kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo huku jina la Roberto Martinez likitajwa kurithi mikoba yake. Kwa msimu wa 2021/22 ndani ya La Liga, Koeman alikiongoza kikosi chake kushinda mechi 10 na…

Read More

MBRAZIL WA SIMBA KUSAINI YANGA

MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa Oktoba 26 amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kusaini dili jipya ndani ya Yanga ikiwa watafikia makualiano mazuri. Kocha huyo kwa sasa yupo huru baada ya mabosi wa timu hiyo kufikia uamuzi wa kuachana naye kutokana na kile waliochoeleza kuwa…

Read More