MKUDE AFUNGA 2021 NA REKODI HII
JONAS Mkude, kiungo wa kazi zote chafu ndani ya uwanja amefunga kibabe mwaka 2021 kwa kutoa pasi yake ya kwanza ambayo ilikuwa ni zawadi ya Krismasi kwa mashabiki wake. Kiungo huyo ambaye kwa sasa ni chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco awali zama za Didier Gomes hakuwa na nafasi ya kucheza kutokana…