YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA NAMUNGO
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba unahitaji pointi tatu za Namungo kwenye mchezo wa leo Novemba 20 licha ya kwamba utakuwa ni mchezo mgumu. Ikiwa ni namba moja kwenye msimamo na pointi zake 15 baada ya kucheza mechi tano ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC. Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema…