KIUNGO WA KAZI YANGA MAJANGA,AUMIA MAZOEZINI
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi, tangu ajiunge na timu hiyo amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara hali inayomfanya kushindwa kuonesha ubora ambao Wanayanga wana uhitaji. Nyota huyo aliyejiunga na Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu akitokea TP Mazembe, majeraha makubwa yanayomsumbua ni kupata maumivu ya nyama za paja. Hivi karibuni,…