YANGA WANARUDI KAZINI KUSAKA POINTI ZA NAMUNGO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinatarajiwa kushuka uwanjani Aprili 23 kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo FC. Ni mchezo wa ligi ambapo utakuwa ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa awali walipokutana Uwanja wa Ilulu ubao kusoma Namungo 1-1 Yanga. Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa wapo…