TANZANIA YANUKIA KOMBE LA DUNIA
USHINDI wa mabao 4-0 walioupata Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17 mbele ya Burundi umeiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kufuzu Kombe la Dunia linalotarajiwa kufanyika nchini India. Ni mabao ya Clara Luvanda aliyetupia mabao mawili huku Neema Paul na Husna Ayoub wakitupia bao mojamoja iliamsha shangwe kwenye mchezo huo…