SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kuwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Orlando Pirates itashinda mabao manne kwa sababu wanajua kucheza mechi zao.
Simba Aprili 17,2022 itakuwa na mchezo dhidi ya Orlando Pirates ambao ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.