VIDEO:CHEKI TIZI LA SIMBA KUIKABILI ORLANDO PIRATES

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ana kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates, Aprili 17,2022 kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Haya hapa ni mazoezi ya nyota wa Simba kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.