BODI ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za mechi ambazo awali zilikuwa hazijapangiwa tarehe zake na imeweka wazi kwamba itaendelea kuzipangia tarehe mechi zote ambazo kwenye ratiba iliyoanza lakini hazikupangiwa tarehe.
Ratiba ipo hivi:-
Aprili 23,2022
Yanga v Namungo FC, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku
Mei 5,2022
Biashara United v Dodoma Jiji, Uwanja wa Nyamagana, Mwanza saa 10:00 jioni