MITETEMO YA MAYELE YATUMIKA KUITISHA SIMBA
UONGOZI wa Yanga umetumia mitetemo ya Fiston Mayele kuwatisha wapinzani wao wajao kwenye ligi ambao watakuwa ni Simba. Yanga inaongoza ligi ina pointi 51 baada ya kucheza mechi 19 bila kupoteza huku Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiwa na pointi 41 baada ya kucheza mechi 19. Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa uwepo…