TETESI ZA USAJILI; IDUMBA NA SIMBA MAMBO SAFI

Simba sc na Cape Town City, zimefikia Makubaliano ya kuuziana Beki wa Kati raia wa DRC Congo Nathan Idumba Fasika, Uhamisho wa Nyota huyo unakadiliwa kukamilika mwishoni mwa msimu ili kumpa nafasi Idumba amalize kuitumikia Cape Town City kwa Msimu huu.

kinachoendelea sasa ni Makubaliano binafsi na Beki huyo juu ya Mshahara wake na Simba sc.

Simba sc wakifanikiwa kumnasa Idumba watatengeneza pacha ya Inonga na Idumba ambao wamewai kucheza pamoja.