SportsARTETA:TULIKUWA NA KILA KITU CHAKUSHINDA,SPIDI TATIZO Saleh4 years ago01 mins MABAO kutoka kwa Leandro Trossard dk 28 na Enock Mwepu dk 66 yaliweza kutosha kuipa pointi tatu Brighton mbele ya Arsenal. Ni bao la Martin Odegaard dk 89 Uwanja wa Emirates lilitosha kuwafuta machozi washika bunduki hao wanaonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta. Arteta amesema kuwa walikuwa wana kila kitu cha kuweza kushinda lakini haikuwa hivyo. “Tulikuwa na umiliki mzuri wa mpira na ilikuwa nzuri kwetu tulipata nafasi nyingi lakini hatukuweza kuzitumia,hatukucheza katika spidi sahihi,”. Arteta ametoka kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Crystal Palace Jumatatu huku kichapo hicho kikiwapotezea matumaini ya kuwa ndani Top 4. Post navigation Previous: YANGA WANATAKA YOTE KWA MPIGO, KUKIPIGA LEO NA GEITANext: SAIDO AWASHUKURU NBC KWA TUZO
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh1 day ago 0