SportsUWANJA WA MKAPA: YANGA O-0 GEITA GOLD Saleh4 years ago01 mins DAKIKA 45 za burudani safi kabisa kutoka kwa timu zilizofanya maandalizi mazuri kutimiza kile ambacho wamepewa na benchi la ufundi. Ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 0-0 Geita Gold ikiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali. Timu zote zinapambana kusaka ushindi huku umakini ukiwa ni tatizo kwenye kumalizia nafasi. Zawadi Mauya amekuwa ni imara kwa Yanga kwa mipira ya mbali kuelekea langoni huku George Mpole akiwa kwenye uangalizi mkubwa wa Dickson Job. Post navigation Previous: MILANGO YA USHIRIKA MIGUMU MWANZO MWISHO, POLISI TANZANIA 0-0SIMBANext: YANGA WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh1 day ago 0