
SIMBA YATAJA MAMBO YANAOITESA TIMU HIYO
KOCHA Mkuu wa Simba, Raia wa Rwanda, Thierry Hitimana amefunguka mambo matatu yanayosababishawashindwe kufanya vizuri tangu kuanza kwa msimu huu. Hitimana amefichua mambo hayo kufuatia Simba kucheza mechi nne katika Ligi Kuu Bara ambapo imefanikiwakushinda mechi mbili na kutoka sare mechi mbili huku ikiwa ya katika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligikuu ikiwa pointi nane. “Tuna mambo matatu ambayo tunapitia lakini jambo la kwanza presha imekuwa kubwa ingawa ni kawaida katika soka lakini kwetu imekuwa kubwa kwa sababu…