Yanga SC vs Simba SC zimebaki siku tatu

YANGA SC vs Simba SC wababe hawa wawili wanatarajiwa kuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi ndani ya Uwanja Septemba 16 2025. Zimebaki siku tatu kwa watani hawa wa jadi kupambania taji la Ngao ya Jamii ikiwa ni mchezo rasmi wa ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 taji la Ngao ya…

Read More

ZIMBWE JR AFIKIRIA MAKUBWA YANGA SC

Mohmaed Hussen Zimbwe Jr beki wa kushoto ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu Romain Folz amesema kuwa anafurahia mapokezi makubwa aliyoyapata kutoka kwa mashabiki anamini watajituma kufanya vizuri ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba Zimbwe Jr ni miongoni mwa wachezaji waliopokewa kwa shangwe kubwa ndani ya Yanga SC katika utambulisho wake,…

Read More

SIMBA SC YATAMBIA KIKOSI IMARA

UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa una kikosi imara na chenye uwezo wa kuleta ushindani kutokana na maandalizi ambayo yamefanyika. Septemba 10 2025 ilikuwa ni kilele cha tamasha la Simba Day, Uwanja wa Mkapa na ilikuwa ni Full House baada ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kuujaza uwanja na kushangilia mwanzo mwisho. Katika tamasha hilo…

Read More

YANGA SC 1-0 BANDARI

YANGA SC imepata ushindi mbele ya Bandari katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo umekamilika dakika 90 kwa ushindi wa bao 1-0 ambalo limedumu mpaka mwisho wa mchezo kirafiki. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo Ecua dakika ya pili kwa pigo la kichwa akiwa ndani ya 18 akitumia pasi ya…

Read More

KIKOSI CHA YANGA SC MBELE YA BANDARI

Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Bandari FC mchezo wa kirafiki Uwanja wa Mkapa Septemba 12 2025 ikiwa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi. Djigui Diarra, Israel Mwenda, Farid Mussa, Bakari Mwamnyeto. Assink, Aziz Andambwile, Maxi Nzengeli. Kouma, Prince Dube, Shekhan, Ecua hawa wameanza kikosi cha kwanza. Wachezaji wa akiba ni Aboutwalib Mshery, Ibrahim Bacca,…

Read More

MERIDIAN BONANZA KUVUNJA MIPAKA YA KUBASHIRI KIDIJITALI

Katika zama ambapo michezo ya kubahatisha inazidi kugeuka kuwa burudani ya kidijitali yenye msisimko wa hali ya juu, Meridian Bonanza imeibuka kama nyota mpya inayong’aa angani ikiwa ni tukio la kipekee linalobadilisha namna wachezaji wanavyotazama ushindi, burudani, na teknolojia ya kisasa. Kutoka kwenye muonekano wake wa kuvutia hadi athari za sauti zinazochochea hamu na nguvu…

Read More

KIUNGO MPYA YANGA SC AJIPA KAZI, YANGA DAY INANUKIA

IKIWA imebaki siku moja kabla ya tukio la Yanga Day kufanyika, kiungo mpya katika timu hiyo amejipa kazi nyingine ngumu ili awe imara zaidi. Ikumbukwe kwamba Septemba 12, Yanga SC wamechagua kuwa na tukio la utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi msimu wa 2024/25.  Offen Chikola ambaye huyu ni ingizo jipya akitokea…

Read More

ALI KAMWE AMETOA AHADI HII YANGA DAY

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe ameahidi kuishitua Dunia Keshokutwa katika kilele cha Wiki ya Mwananchi itakayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye ni mrithi wa mikoba ya Miloud Hamdi aliyekiongoza kikosi hicho kutwaa taji la ubingwa msimu wa 2024/25. Ni Wiki ya…

Read More

SIMBA DAY NI BALAA ZITO KWA MKAPA

Simba Day ni tamasha maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi. Katika tamasha hilo kutakuwa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Simba SC vs Gor Mahia watakutana uwanjani. Mashabiki wamejitokeza kwa wingi katika tamasha hili maalumu ambalo linakutanisha wadau wa michezo Tanzania. Mashabiki wamenunua tiketi kwa wingi mara baada ya siku…

Read More