
CÉLESTIN ECUA AJIUNGA NA YANGA SC KUTOKA ZOMAN FC
Uongozi wa mchezaji wa kimataifa Célestin Ecua umetangaza rasmi kuwa kiungo huyo sasa ni mchezaji halali wa klabu ya Yanga SC ya Tanzania, akitokea Zoman FC. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Ecua alisaini mkataba na Yanga takriban wiki tatu zilizopita, kama ilivyoripotiwa awali, na sasa mipango yote imekamilika rasmi. “Ni kweli. Célestin alisaini mkataba na…