
YANGA:HATUPOI, MWENDO ULEULE
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi raia wa Tunissia amesema kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa leo Novemba 3, Uwanja wa Mkapa. Manara amebainisha kwamba kikubwa ambacho wanahitaji ni kuendelea na kasi yao ileile ya kucheza na kushinda…