
GUARDIOLA AKUBALI MUZIKI WA UNITED
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amekubali muziki wa wapinzani wake Manchester United kwa kuweka wazi kuwa ina wachezaji wazuri. Majira ya saa 9:30 muda wa kujipatia msosi Manchester United itakuwa ikimenyana na Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa Uwanja wa Old Trafford. Unatajwa kuwa moja ya mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa…