KITABU CHA MOYO WANGU UNAVUJA DAMU RASMI KIPO MTAANI

LEO Julai 24, 2025, kitabu kipya kiitwacho Moyo Wangu Unavuja Damu kimetambulishwa rasmi sokoni katika Makao Makuu ya Global Group, Sinza – Mori, ikiwa ni kazi ya pili ya fasihi kutoka kwa mtunzi mahiri Lunyamadzo Mlyuka, aliyejipatia umaarufu kupitia kitabu chake cha awali Ganzi ya Maumivu. Kitabu hiki ni simulizi ya kusisimua inayochambua kwa kina…

Read More

PACOME ZOUZOUA KUBAKI YANGA MPAKA 2027

Kiungo mahiri kutoka Ivory Coast, Pacome Zouzoua,inasemekana ameshasaini mkataba mpya na klabu ya Yanga SC siku nyingi zilizopita, muda mfupi tu baada ya fainali ya Kombe la CRDB. Kwa mujibu wa taarifa za ndani, mkataba huo wa miaka miwili ulitayarishwa na kusainiwa kipindi hicho, huku mpunga ukishalipwa rasmi fedha ambazo Zouzoua hakupoteza muda kuzitumia kujenga…

Read More

EUROPA LEAGUE KUFUZU LEO HATUCHEZWI – MERIDIANBET WAKUWEKA MJINI KWA ODDS NONOOO!

Kama kawaida ni siku nyingine pendwa kabisa ambapo mechi kibao za kufuzu Europa League msimu ujao zinapigwa. Meridianbet tayari wameshakuwekea machaguo uyatakayo na wewe unachotakiwa kufanya ni kusuka jamvi lako tuu. Mteja wa Meridianbet unaweza ukabashiri mechi ya FC Banik Ostrava dhidi ya Legia Warszawa ya kule Poland. Meridianbet kwanza wameipa mechi hii ODDS 2.41…

Read More

YANGA YATANGAZA KUAGANA NA WACHEZAJI WATANO NYOTA

Klabu ya Yanga imetangaza hatua kubwa ya mabadiliko ndani ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2025/2026, kwa kuthibitisha kuachana rasmi na wachezaji wake nyota watano, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya maboresho ya kikosi hicho kuelekea mashindano ya ndani na ya kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka klabuni, wachezaji hao hawatakuwa sehemu ya mipango…

Read More

KOCHA WA KIMATAIFA APOKELEWA JANGWANI KAMA MFALME

Klabu ya Yanga SC imemtambulisha rasmi Romain Folz, kocha raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 35, kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo. Utambulisho huu unakuja baada ya aliyekuwa kocha, Miloud Hamdi, kutimkia klabu ya Ismaily ya nchini Misri. Romain Folz, ambaye ni mzaliwa wa Bordeaux, Ufaransa, anakuja na wasifu mzito uliopambwa na uzoefu…

Read More

YANGA YAMNASA CASEMIRO WA ZANZIBAR KUTOKA MLANDEGE!

Klabu ya Yanga imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya baada ya kumtambulisha rasmi kiungo mkabaji wa Mlandege, Abdulnassir Mohammed Abdallah, maarufu kama “Casemiro”, kwa mkataba wa miaka mitatu. Usajili wa kiungo huyo mahiri ulimalizika tangu Julai 2, 2025, lakini klabu hiyo imemtambulisha rasmi leo, ikiwa ni sehemu ya mipango yao ya kusuka kikosi imara na chenye…

Read More

YANGA SC YAMALIZANA NA MASHINE YA MABAO

YANGA SC hawana jambo dogo mara baada ya kumalizana na mashine ya mabao ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhamiwaniwa na NBC. Msimu wa 2024/25 nyota huyo alikuwa kwenye ubora akiwa ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi cha Tabora United. Ni Kiungo mshambuliaji aliyekuwa Tabora United, Offen Chikola alitambulishwa Yanga SC Julai 22 2025…

Read More

VICTOR GYÖKERES KUJIUNGA NA ARSENAL

Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na Sporting Lisbon kuhusu usajili wa mshambuliaji raia wa Sweden, Victor Gyökeres, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia €63.5 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni kulingana na mafanikio mbalimbali. Gyökeres (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano ambao utamweka Emirates hadi Juni 2030. Mshambuliaji huyo aliyeng’ara msimu uliopita…

Read More

YANGA SC YAMALIZANA NA MUDATHIR YAHYA

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekamilisha dili lao na kiungo kiraka Mudathir Yahya. Mudathir Yahya mkataba wake ulikuwa umeisha mara baada ya msimu kufika ukingoni alikuwa kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo kuhusu kuongeza mkataba wake. Ilikuwa inatajwa kuwa kiungo huyo alikuwa…

Read More

MUDATHIR YAHYA ASAINI MKATABA MPYA NA YANGA SC MPAKA 2027

Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kiungo Mudathir Yahya amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027. Mkataba wa awali wa Mudathir aliyejiunga na Wananchi mnamo Januari 2023 akitokea Azam Fc ulitamatika mwishoni mwa msimu uliomalizika lakini sasa amemwaga wino wa kuendelea kuitisha simu mitaa ya Jangwani kwa misimu miwili…

Read More

HUYU HAPA KAPEWA MAJUKUMU YA USAJILI SIMBA SC

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC msimu wa 2025/26 wameweka wazi kuwa mpango kazi wa kufanya usajili upo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Simba SC iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo ikapeperusha bendera kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa msimu wa 2024/25 iligotea kuwa mshindi…

Read More

YANGA SC YAINGIA CHIMBO KUSHUSHA MSHAMBULIAJI WA KAZI

INAELEZWA kuwa baada ya Yanga SC kukamilisha usajili wa beki wa kushoto na nahodha wa Simba SC msimu wa 2024/25, Mohamed Hussein Zimbwe Jr wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la mshambuliaji wa kazi. Mshambuliaji huyo huenda akajiunga na Yanga SC kwa mkopo kwa makubaliano ya pande zote mbili ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu…

Read More