
DERBY YA LONDON: CHELSEA WASHINDA STAMFORD BRIDGE! YAIPIGA FULHAM
Chelsea imepata ushindi wa kwanza wa msimu katika dimba la Stamford Bridge kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye Derby ya Jiji la London. FT: Chelsea 2-0 Fulham ⚽ 45+8’ Pedro ⚽ 56’ Fernandez