
Kikosi cha timu ya Tanzania dhidi ya Morocco, robo fainali CHAN 2024
HIKI hapa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Morocco, robo fainali CHAN 2024 Agosti 22 2025, Uwanja wa Mkapa. Yakuob Suleiman mlinda mlango, Shomari Kapombe beki, Mohammed Hussein Zimbwe Jr beki, Ibrahim Bacca beki, Dickson Job nahodha huyu ni beki. Yusuph Kagoma ni kiungo mkabaji, Idd Nado ni kiungo, Mudathir Yahya ni…