
NI PESA NA SIMU MPYA YA KISASA SAMSUNG A25 KWA WACHEZA AVIATOR
Meridianbet imezindua promosheni kabambe kwa wachezaji wote wa mchezo maarufu wa Aviator, ikiwa ni nafasi adhimu ya kujishindia simu mpya kabisa za kisasa aina ya Samsung A25. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, kila wiki wachezaji wawili watakuwa na nafasi ya kushinda simu hizi kwa kushiriki tu kwenye mchezo wa Aviator kupitia tovuti rasmi…