
SALAH NI BORA DUNIANI
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Liverpool, Fernando Torres amesema kuwa nyota Mohamed Salah ambaye ni mshambuliaj ndiye mchezaji bora kwa sasa duniani. Salah anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ya dunia ambayo itatolewa mwezi ujao na Shirikisho la Soka la Kimataifa,(Fifa) na watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa anastahili kutwaa tuzo hiyo. Torres aliweza kuutazama…