
UEFA, EUROPA NA CONFERENCE LEAGUE KUENDELEA WIKI HII
Baada ya mzunguko wa kwanza kwenye hatua za makundi, mashindano ya Ulaya kuendelea wiki hii. Ungwe ya pili hatua ya makundi kurindima viwanjani. Nani ni nani wiki hii. Atalanta kuwaalika Manchester United jumanne hii. Baada ya kuandamwa na matokeo mabovu, United waliwalaza na viatu Spurs wikiendi iliyopita. Watafanya nini kwenye mchezo wa 2…