
MERIDIAN BET, LIONS CLUB ZASAIDIA MATIBABU KWA WALEMAVU WA MACHO 100
Waathirika 100 wenye ulemavu wa macho jijini Dar es Salaam, wamepatiwa huduma ya kupima, matibabu na vifaa tiba katika kambi maalumu ya kupima macho iliyofanyika jana kwenye kituo cha jumuiya ya maendeleo ya waisilamu wasioona Tanzania (VIMDAT). Kambi hiyo iliyolenga kupima macho, kutoa miwani na matibabu mengine ya macho kwa wenye ulemavu jijini…