
AZAM FC YAIZIMA GEITA GOLD USIKU
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina usiku wa kuamkia leo Novemba 3 kilisepa na pointi tatu mazima mbele ya Geita Gold. Ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 1-0 Geita Gold. Bao la ushindi lilipachikwa na mshambuliaji…