
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
Wiki yako inawezakuanza vyema kwa kutengeneza faida kupitia Meridianbet. Michezo ya robo fainali ya Carabao Cup na LaLiga Santander kuchezwa wiki hii. Mchongo upo hivi; Jumanne hii, Sevilla watawaalika FC Barcelona katika muendelezo wa LaLiga nchini Hispania. Timu zote zinahitaji matokeo chanya ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi hiyo. Barca…
BABA mzazi wa kiungo wa Azam FC, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’, mzee Aboubakar Salum ‘Sure Boy Sr’ amewekawazi kuwa mtoto wake yupo mbioni kumalizana na mabosi wa Yanga baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuvunja mkataba wa mchezaji huyo na Azam FC kutokana na mgogoro uliokuwepo. Kiungo huyo ni miongoni mwa wachezaji watatu wa Azam FC waliosimamishwa kwa utovu wanidhamu. Wengine ni Agrey Morris na Mudathir Yahya. …
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Bunge la nchi hiyo, baada ya kuibuka na makombe saba katika michezo mbalimbali kwenye Mashindano ya 11 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyomalizika hivi karibuni jijini Arusha. Amesema wabunge hao wamefanya kazi kubwa ya kuipambania Tanzania na Bunge la Tanzania…
IKIWA dili lake litakamilika kujiunga na kikosi cha Real Madrid akitokea Klabu ya Chelsea basi beki Antonio Rudiger atakunja mkwanja mrefu kweli. Rudiger anatarajiwa kuondoka kwenye kikosi hicho na timu kadhaa Ulaya zinatajwa kuwania saini yake. Ambao wapo mbele kuwania saini ya mwamba huyo ni Real Madrid ambao wao wametenga kabisa kitita cha mshahara wa…
RASMI uongozi wa Yanga umefunguka kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wachezaji wapya watakaosajiliwa na timu hiyo katika dirisha hili dogo la usajili kutumika katika michuano ya Kombe la Mapinduzi itayoanza kutimua vumbi Januari visiwani Zanzibar. Yanga katika dirisha hili dogo la usajili wanahusishwa kwa karibu na baadhi ya wachezaji akiwemo mshambuliaji Jean Marc Makusu anayekipiga DC Motema Pembe na kiungo mshambuliaji Fabrice Ngoma anayekipiga Raja Casablanca ya Morroco. Pia…
HERITIER Makambo, nyota wa kikosi cha Yanga, ameweka wazi kuwa ukurasa wake wa mabao ndiyo kwanzaunaanza kufunguliwa kwani hajachuja katika suala la ufungaji, akitamba kwamba akipewa nafasi atafunga. Nyota huyo kwa sasa ni kinara wa utupiaji ndani ya Yanga kwenye Kombe la Shirikisho akiwa ametupia mabao matatu, ilikuwa mbele ya Ihefu FC wakati Yanga iliposhinda mabao 4-0. Mshambuliaji huyo aliweza kuanza pia kwenye mchezo wa jana mbele ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu.
TANZANIA Prisons leo Desemba 19 imekwama kuivunja rekodi ya Yanga kucheza mechi tisa bila kufungwa baada ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Nelson Mandela umesoma Tanzania Prisons 1-2 Yanga. Bao la Samson Mbangula lilikuwa mapema kabisa dakika ya 9 kwa kichwa na liliweza kusawazishwa na Feisal…
DAKIKA 45 za mwanzo Uwanja wa Nelson Mandela timu zote mbili zimekwenda mapumziko huku Yanga wakiwa mbele. Ni bao la Samson Mbangula wa Tanzania Prisons lilikuwa la kwanza kuwekwa kati dakika ya 9 kisha Salum Feisal alisawazisha dakika ya 23. Dakika ya 43, kiungo Khalid Aucho alifunga bao la pili la kuipa uongozi timu hiyo…
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons
IKIWA kwa sasa harakati za usajili wa dirisha dogo limeanza,mabosi wa Simba wameamua kumuachia jukumu la kupendekeza Kocha Mkuu wa Simba Pablo Franco wa kuweza kupendekeza maeneo anayohitaji waweze kuyaboresha. Taarifa kutoka benchi la ufundi wa Simba zimeeleza kuwa kwa sasa hakuna mapendekezo ambayo yametolewa lakini viongozi wanasubiri taarifa kutoka kwa Pablo ili waweze kufanya…
WAKATI leo kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kikitarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela itakosa huduma ya nyota wake wanne ambao wamehusika kwenye jumla ya mabao saba. Yanga yenye pointi 20 ipo nafasi ya kwanza na safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 12 na ukuta…
KUELEKEA mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga, Tanzania Prisons wametamba kuwa wapinzani wao hawawatishi na watahakikisha wanavunja rekodi yao ya kutofungwa tangu kuanza kwa msimu huu. Mchezo huo wa ligi kuu unatarajiwa kupigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa. Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons, Shaban Kazumba alisema: “Tunamshukuru Mungu tunaendelea na mazoezi kuelekea kwenye mchezo wetu wa ligi unaofuata dhidi ya Yanga japo kuna mvua kidogo “Kama tulivyopeleka maumivu ya mabao…
KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa hana hofu kukosekana kwa beki wake wa pembeni, Shomari Kibwana kwani tayari yupo mbadala wake David Bryson anayemuandaa kuchukua nafasi yake. Kibwana anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne akiuguza majeraha ya goti aliyoyapata katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba wikiendi…
KLABU ya Mianzini FC kutoka Temeke Jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuibuka Mabingwa wa Meridian Bet Street Soccer Bonanza yaliyofanyika Desemba 18 mwaka huu kwenye viwanja vya Mwembeyanga. Mianzini walitwaa ubingwa huo baada ya kuwachapa TP City FC kwa mikwaju 4-3 ya Penalti baada ya dakika 90 za mchezo huo kumalizika kwa matokeo ya 0-0…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili