Home Sports ROBO FAINALI YA CARABAO CUP KUCHEZWA WIKI HII

ROBO FAINALI YA CARABAO CUP KUCHEZWA WIKI HII

 

Wiki yako inawezakuanza vyema kwa kutengeneza faida kupitia Meridianbet. Michezo ya robo fainali ya Carabao Cup na LaLiga Santander kuchezwa wiki hii. Mchongo upo hivi;

 

Jumanne hii, Sevilla watawaalika FC Barcelona katika muendelezo wa LaLiga nchini Hispania. Timu zote zinahitaji matokeo chanya ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi hiyo. Barca bado wanajitafuta msimu huu, Sevilla wanapiga yeyote aliyewanyookea wanapokutana uwanjani. Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.45 kwa Sevilla.

Kunako robo fainali ya Carabao Cup, Arsenal watashuka uwanjani kuchuana na Sunderland jumanne usiku. The Gunners wapo kwenye kiwango bora msimu huu wakiwa wanashika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa EPL. Sunderland wao wanapambana kupanda daraja. Mchezo wa EFL Cup ni muhimu kwa timu zote, fursa ya kubeba kikombe, hakuna anayetaka impite. Odds ya 1.18 imewekwa kwa Arsenal.

Pale Anfield, Liverpool FC watawaalika Leicester City. Brendan Rogers anarejea nyumbani kucheza dhidi ya Majogoo wa Anfield. Wakati huu ambao Man City wameshatolewa kwenye mashindano haya, pengine ni fursa ya yeyote kati ya Klopp na Rogers kutwaa ubingwa wa Carabao msimu huu. Nani atampunguza mwingine baada ya dakika 90? Ifuate Odds ya 1.63 kwa Liverpool.

Mambo yanazidi kutaradadi kwenye ulimwengu wa dabi, London Derby kuonekana tena kwenye robo fainali ya Carabao Cup. Ni Tottenham Hot Spurs vs West Ham United. The Hammers wanatinga robo fainali baada ya kuziondoa timu zote mbili za jiji la Manchester. Sasa wanakwenda kukutana na Spurs yenye morali baada ya kutoka sare na Liverpool wikiendi iliyopita. Nani ni nani – Ni Conte au Moyes atakayefuzu nusu fainali? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.37 kwa Spurs.

 

Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Previous articleBABA SURE BOY AFUNGUKIA ISHU YA MWANAE KUCHEZA YANGA
Next articleMUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE