KOCHA GEITA GOLD ATEMBEZA BONGE LA MKWARA
BAADA ya kupata ushindi wa kwanza kwenye ligi kuu kocha wa Geita Gold FC Fred Felix Minziro amefunguka kuwa kwa sasa timu hiyo itaendeleza kupata ushindi kwenye michezo inayokuja mbeleni. Minziro alisema aliichukua timu ikiwa kwenye wakati mgumu ikipata michezo migumu wakiwa ugenini ambayo yote walipoteza wakiwa viwanja vya Dar na waliporudi nyumbani wakapata alama…