
SIMBA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO MAEMA
Nyota mpya Simba SC, raia wa Afrika Kusini Neo Maema ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi…
Nyota mpya Simba SC, raia wa Afrika Kusini Neo Maema ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi hicho Agosti 21 2025 kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Huyu ni kiungo mshambuliaji ambaye yupo na timu kambini nchini Misri alikuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini, maarufu kwa jina la Bafanabafana kwenye CHAN 2024. Nyota huyo…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameikabidhi timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kiasi cha Milioni 200 za Kitanzania, wakati timu hiyo ikijiandaa kumenyana na Morocco katika mchezo wa robo fainali, utakaofanyika Agosti 22, 2025. Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kiasi hicho cha fedha ni kama zawadi…
YANGA SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika wakiwa na mataji 31 kabatini wametambulisha nyota watatu ndani ya Agosti 2025. Katika wachezaji hao usajili ambao ulitikisa ni ule wa beki Mohamed Hussen Zimbwe Jr aliyetambulishwa hapo akitokea kikosi cha Simba SC baada ya mkataba wake kugota mwisho msimu…
Ni rahisi sana kutengeneza pesa ukiwa na Meridianbet siku ya leo kwani mechi kibao zinapigwa siku ya leo. Nani kukupatia pesa?. Crystal Palace, Fiorentina na wengine wanakusubiri sasa. Sparta Prague yeye atakiwasha dhidi ya Riga FC huku mechi hii kule Meridianbet ikiwa imepewa machaguo zaidi ya 1000. Kila timu inataka ushindi mkubwa siku ya leo,…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi msimamo wake juu ya kiungo wake mshambuliaji, Ladack Chasambi kuwa hayupo katika mipango yake ya msimu ujao. Kuna uwezekano mkubwa nyota huyo akaondoka ndani ya kikosi cha Simba SC kwa msimu ujao ambapo inalezwa kuwa pengine anaweza kwenda KMC ama Namungo FC kwa mkopo. Benchi la ufundi…
Klabu ya Azam FC imeachana rasmi na kipa wake raia wa Sudan, Mohamed Mustafa, baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Azam FC imetoa ujumbe maalumu kuthibitisha kuachana huko, ikibainisha kuwa uhusiano huo umehitimishwa kwa amani na kwa heshima baina ya pande zote. Mustafa, ambaye alijiunga na…
Yanga SC imeitangaza siku ya Ijumaa ya Septemba 12 2025 kuwa siku rasmi ya kilele cha wiki ya Wananchi. Hii ni siku maalum ambayo hutumiwa kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na kikosi kipya mbele ya mashabiki. Pamoja na utambulisho huo matukio kama burudani za muziki na mechi kali ya soka hunogesha. Hili ni miongoni mwa…
Ushindi mkubwa unaweza kuja kwa namna zisizotarajiwa, hiyo imethibitishwa na mshindi wetu wa hivi karibuni. Kwa dau dogo la TZS 3,055/= amejiwekea historia kubadilisha kiasi hicho kidogo kuwa TZS 14,996,310/= Yote haya yalifanikishwa kwa urahisi kupitia USSD ya Meridianbet, ikithibitisha kuwa umakini na mikakati sahihi inaweza kubadilisha maisha. Huduma ya USSD imekuwa suluhisho rahisi kwa…
UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa uzinduzi wa uzi mpya utakuwa watofauti kidogo kutokana na mpango kazi uliopo. “Jezi…
KARIAKOO Dabi inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayowakutanisha Yanga SC na Simba SC, Septemba 16, 2025 jijini Dar. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa kwa mwaka huu, Ngao ya Jamii itachezwa kwa mchezo mmoja pekee kufuatia mabadiliko ya…
Meridianbet, Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania inakukaribisha uweze kusuka jamvi lako la ushindi siku ya leo kwani mitanange ipo kibao kuanzia huku Afrika mpaka kule Ulaya. Jisajili na ubeti sasa. Ligi kuu ya Afrika Kusini PREMIER LEAGUE itaendelea leo hii kw amechi kadhaa, Amazulu FC atakipiga dhidi ya Marumo Gallants FC. Mwenyeji yeye yupo nafasi…
WAKATI Tanzania Agosti 16 2025 kwenye mchezo wa CHAN 2024 ikishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Afrika ya Kati 0-0 Tanzania, kiungo Feisal Salum amebainisha kuwa watapambana katika hatua ya robo fainali kupata matokeo mazuri. Mchezo huo uliopita hatua ya makundi ulikuwa wa kwanza kwa Tanzania kugawaa pointi mojamoja. Katika mechi tatu ambazo zilipita…
Meridianbet imezindua tena moto wa ushindani wa kipekee kwa msimu mwingine wa Spinoleague 2025, na kuleta burudani ya hali ya juu pamoja na zawadi za kihistoria zenye thamani ya zaidi ya TSh 36 Bilioni. Mwaka huu, michezo inawaka zaidi kuliko hapo awali, ikiwapa wapenzi wa sloti fursa ya kipekee ya kushiriki katika shindano la kimataifa….
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amempa kazi maalumu kiungo mkabaji wa Simba SC, Yusuph Kagoma kuelekea kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco. Tayari hatua za makundi zimegota mwisho huku timu za Ukanda wa CECAFA zikiwa vinara katika makundi yao. Tanzania kutoka kundi B, Kenya kutoka kundi A na Uganda kutoka kundi…
MASTAA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Romain Folz Agosti 19 2025 walikuwa kwenye mazoezi maalumu katika fukwe za Coco Beach Dar kwa lengo la kusaka pumzi na kuwa imara zaidi. Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Msimu wa 2024/25…
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kuchaguliwa tena katika nafasi hiyo. Karia ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya ya Shirikisho la soka Afrika CAF, alichaguliwa tena kama Rais wa…
Wiki mpya imeshaanza na wewe ni rahisi sana kuanza wiki yako kijanja na Meridianbet, kwani unachotakiwa kufanya ni kutengeneza jamvi lako hapa na kubashiri mechi zote zinazoendelea kuanzia kule Saudia, Uingereza na kwingineko. Leo hii Hispania, LALIGA itaendelea ambapo Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kukiwasha dhidi ya CA Osasuna ambao kushinda mechi hii ya leo…