
CHAN 2024 TANZANIA UKUTA UNAIMARIKA, USHAMBULIAJI KUFANYIWA KAZI
KATIKA CHAN 2024 ukuta wa timu ya Tanzania chini ya nahodha Dickson Job umeruhusu bao moja pekee ndani ya dakika 360. Wakati ukuta ukizidi kuimarika, safu ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao matano kwenye mechi za ushindani. Ilikuwa Tanzania 2-0 Burkina Faso, Agosti 2 2025, Mauritania 0-1 Tanzania, Agosti 6 2025 na Tanzania 2-1 Madagascar…