Home Sports TIMU MBALIMBALI KUENDELEA KUTIFUANA WIKIENDI HII, NANI NI NANI?

TIMU MBALIMBALI KUENDELEA KUTIFUANA WIKIENDI HII, NANI NI NANI?

Bundesliga, Serie A na EPL kunogesha wikiendi yako. Wakati baadhi ya vilabu vya EPL vikihaha na maambukizi ya Omicron Variant, nchi zingine mambo yanaendelea kama kawaida, kwa kuzingatia tahadhari dhidi ya COVID-19. Wikiendi inakwenda namna hii;

 

Bayern Munichen watakuwa pale Allianz Stadium kuwaalika Wolfsburg Ijumaa hii. Huu ni mchezo ambao unazikutanisha timu mbili zenye matokeo tofauti kabla ya mchezo huu. Bayern ametoka kumpiga Stuttgart 5-0, Wolfsburg ametoka kuumia 3-2 dhidi ya FC Cologne. Lolote linaweza kutokea uwanjani, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.19 kwa Bayern.

 

Kwenye Serie A, jumamosi hii watachuana Atalanta vs AS Roma. Kimsingi, Roma wanahaha sana kupata matokeo kwa siku za hivi karibuni, Jose Mourinho anaonekana kama hana jipya, mbinu zake zote zinafeli kwa sehemu kubwa. Atalanta wapo kikazi zaidi, wanaondoka na kijiji kila wanapopata nafasi. Ondoka na kijiji chako ukiwa na Meridianbet, Odds ya 1.72 ipo kwa Atalanta.

Kama mambo yataenda sawia, EPL itashuhudia mtanange kati ya Tottenham Hot Spurs vs Liverpool wikiendi hii. Huku Harry Kane, kule Mo Salah. Japokuwa Kane amepooza sana msimu huu, haimaanishi analionea lango huruma au hana sumu – uwezo wa kuzifumania nyavu bado upo. Salah anapigiwa chapuo kupewa cheo cha mchezaji bora duniani kwa sasa, uwezo wake uwanjani ni uthibitisho wa hili, amekuwa wa moto kuliko kawaida msimu huu. Ni mbinu za Antonio Conte au Jurgen Klopp ndio zitakutoa kimasomaso? Ifuate Odds ya 1.65 kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

 

Kule San Siro, AC Milan watakuwa wenyeji wa Napoli katika muendelezo wa Serie A. Timu zote zinaendelea kupambania safari ya kuuelekea ubingwa wa Serie A. Matokeo ndio kitu pekee kitakachotoa taswira halisi kwa vilabu hivi. Meridianbet hatukuachi hivihivi wikiendi hii, ifuate Odds ya 2.27 kwa Milan wikiendi hii.

Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Previous articleWAZIRI NDUMBARO ASHINDA MASHINDANO YA GOFU
Next articleMUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA