
SIMBA WAPO TAYARI KIMATAIFA
HITIMANA Thiery, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Jwaneng Galax ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo utakuwa ni wa marudio baada ya ule wa awali Simba kucheza ugenini nchini Botswana. Ilikuwa ni Oktoba 17 ambapo Simba…