
SABABU YA CHAMA KUKAA BENCHI YATAJWA
KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amefunguka suala la kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Clatous Chama, kushindwa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi hicho huku akiweka wazi kuwa mchezaji huyo anahitaji muda zaidi wa kukaa sawa ndani ya timu hiyo. Chama alijiunga na RS Berkane mwanzo wa msimu huu akitokea Simba sambamba na winga wa zamaniwa Yanga, Tuisila…