SIMULIZI YA MUME ALIYEKUWA NA TABIA ZA KERO

    SIMULIZI ya mume ambaye alikuwa na tabia zilizomkera mkewe

    Ndoa yangu na mume wangu ilikua yenye kutamaniwa na wengi. Tuliishi mjini katika makao ya wafanyakazi wa Serikali ambapo mume wangu alikua mhasibu katika Serikali ya kauti ya
    Mombasa.

    Nilifanya kazi ya ususi mjini Mombasa ambapo nilikuwa na duka la kuuza bidhaa mbalimbali za kutia nakshi urembo. Hali ilikuwa shwari katika ndoa yetu.

    Baada ya miaka miwili nilifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambapo sasa hali ilianza kuwa ngumu kwani nilihitaji msaidizi pale nyumbani.

    Nisingeweza kamwe kufanya kazi za usafi kwenye nyumba tulipokuwa tukiishi pia biashara yangu ambayo ilikuwa ndio kitega uchumi changu ingesimama iwapo ningetulia pale nyumbani tu baada ya kujifungua.

    Nilipomweleza mume wangu kuwa nilikuwa katika mipango ya kutafuta yaya, alikubali maoni hayo bila ya pingamizi yeyote.
    Baada ya wiki kadhaa nilifanikiwa kupata yaya kwa jina Deborah ambaye alikua msichana wa kati ya miaka kumi na sita hadi kumi na minane.

    Alichapa kazi yake nyumbani vizuri bila kugombana wala kuleta vurugumechi. Hali ilikuwa shwari kwani nilipata nafasi ya kuendeleza biashara yangu mjini.

    Ningechelewa kazini sikuwa na mashaka kwani nilijua fika kwamba pale nyumbani palikuwa na msaidizi ambaye ni yaya Deborah.

    Alikuwa ni binti ambaye hakupenda mazungumzo sana na mara nyingi mazungumzo yake ungeona kazi alizofanya. Alikuwa msichana mrembo ambae alikuwa katika uzuri wake kwani ilionekana wazi ndio ulikuwa wakati wake wa kukua.

    Mume wangu hakuwa na shaka na yaya huyu kwani aliifurahia kazi aliyoichapa pale nyumbani. Tulimchukulia Deborah kama kifungua mimba wetu kwani hatukutaka kumchosha
    na kazi nyingi kwa wakati mmoja.

    Wakati mwingine tulienda naye kutembea, mume wangu
    alimnunulia mavazi na pia kwa wakati mmoja tulifunga safari kwenda kuwatembelea wazazi
    wake.

    Baada ya muda wa miezi mitatu tabia ya mume wangu ilianza kubadilika. Alianza kuwa karibu
    sana na Deborah jambo ambalo sikulifurahia kama mke mwenye boma.

    Nilianza ugomvi na yaya wetu kwa sababu ya jambo hilo lakini mume wangu alinifokea kila mara nisijue la kufanya.
    Nilifahamu fika kwamba ukaribu wa Deborah na mume wangu ungeleta uhusiano wa kimapenzi
    baina yao.

    Tabia za mume wangu zilianza kubadilika kabisa kwani hata wakati mwingine alisusia kula chakula nilichokuwa nimekipika mimi mwenyewe kwa visingizio ambavyo sikuvielewa hata siku moja.

    Kila wakati alitaka kula chakula ambacho yaya amekipika. Tabia ile
    ilinichukiza na pia kunitilia shaka kuwa mume wangu alikua anamtamani kimapenzi yaya wetu.

    Kila wakati Deborah alileta chakula mezani, alimpa mume wangu tabasamu la kufa mtu na kila nlipomuliza mume wangu mbona alikua ameaza kubadilika alisema kuwa wivu niliokuwa nao
    utaniua siku moja.

    Alinihakikishia kwamba hakuwa na urafiki wowote na yaya Deborah lakini jinsi mambo yalivofanyika kwenye nyumba yetu nilijijazia kwamba lisemwalo lipo na kama halipo bila shaka lingefika.

    Siku moja nilirejea nyumbani ghafla kwani nilikua nimesahau bidhaa fulani za ususi. Nilipofungua mlango nilipata mume wangu yupo na Deborah kwenye chumba chetu cha
    kulala.

    Kwa hakika kitu kilichokuwa kikifanyika gizani kilikiwa kimegunduliwa. Sikuwa na mengi
    ya kusema kwani nilimzaba Deborah makofi huku mume wangu akikimbia upesi.

    Siku iliyofuata nilimfukuza Deborah kutoka kwenye nyumba yetu kwani alikua kwenye harakati za kuvunja ndoa yangu. Mume wangu naye alienda mafichoni na kurejea baada ya juma
    moja.

    Nilitafuta yaya mwingine baada ya majuma matatu kupita. Tabia za mume wangu zilikuwa ni zilezile za kutamani mayaya nilokuwa naajiri pale nyumbani.

    Nilipomweleza rafiki yangu Grace mambo niliyokuwa napitia alinielekeza kwa madaktari wa
    Kiwanga kwani alinieleza walisuluhisha mambo hayo kwa urahisi.

    Siku iliyofuata niliweza kufika katika ofisi zao mjii Nakuru kwa huduma. Nilihudumiwa na kurejea nyumbani. Baada ya
    siku mbili hivi tabia ya mume wangu ilikuwa imeanza kubadilika.

    Hakua tena na ile tabia ya kutabasamu kwa yaya pale nyumbani. Baadaye aliniarifu kuwa alikua amebadilika na hakuna siku
    nyingine nitakayompata na makosa yaliyopita. Tuliishi kwa upendo na tangu siku ile sijawahi muona akiwa na yaya.

    Kama unashida waweza tembelea madaktari wa Kiwanga kwa usaidizi. Matabibu wa Kiwanga wanatatua matatizo mengi ndani ya siku tatu.

    Watembelee kwa usaidizi iwapo unahitaji mwamko mpya maishani. Wavuti www.kiwangadoctors.com barua pepe
    kiwangadoctors@gmail.com. Pia waweza kupiga simu kwa nambari +254 769404965.

    Previous articleSTARS NDANI YA MADAGASCAR TAYARI KWA KAZI
    Next articleMASTAA WENYE MAKOMBE MENGI ZAIDI