WASHINDI wa Jackpot bonus ya Kampuni ya SportPesa wamezidi kujazwa minoti baada ya kupata ushindi katika ubashiri wao waliofanya.
Hawa ni Washindi wa Jackpot bonus kutoka kushoto Mohammed O. Mohammed, Deo Nehemia Msemwa na Yona Teremia Nyasomba wakishikilia mfano wa hundi ya shilingi 5,003,220 ambapo kila mmoja ataondoka na kiasi hicho mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita.