SIMULIZI YA MSOMI ALIYETUSUA KATIKA KAZI YA UDAKTARI

  SIMULIZI ya msomi aliyeweza kutusua katika kazi ya udaktri

  Nilijitahidi mno kutia bidii tangia nipo shule ya msingi na kuibuka na alama zilizoniwezesha kujiunga na shule ya upili ya ndoto yangu ambayo ilikuwa ni shule ya kitaifa mojawapo ya shule
  bora nchini Tanzania.

  Nilipojiunga pale bidii zangu za mchwa zilikwepo
  kwenye damu bado kwani nilishikilia nambari ya kwanza tangia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne bila kushindwa na mwanafunzi yeyote mle shuleni.

  Baada ya hapo hakukuwa na shaka kuwa lazima ningefuzu kama mwanafunzi bora mkoani na kwenda chuo kikuu.
  Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari wa ubongo ambayo ndiyo taaluma niliyosomea chuo.

  Nilijitahidi pia kwa pale na hadi baada ya miaka minne nikahitimu kwa alama bora zaidi nchini kama daktari wa Ubongo.Baada ya kuhitimu,mtaala ulinihitaji kwenda katika
  mafunzo ya nyanjani kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kuidhinishwa na bodi ya madaktari nchini
  na kukabidhiwa cheti cha kuhudumu kama daktari wa ubongo ulimwenguni.

  Kwangu mimi ule msemo wa achanikae kwa jua hulia kivulini haukuwahi kuwa wenye maana katika maisha
  yangu kwani, nilianzisha kazi ya kutafuta kazi licha ya kujitahidi kwa kiasi kile kutimiza ndoto
  zangu ili kujikwamua kwenye dimbwi la umaskini lililoizagaa jamii yangu.

  Kila nilipojaaliwa kupata kibarua katika hospitali yeyote,sikuweza kudumu hata wiki mbili kabla ya kupigwa kalamu licha ya kuwa mchapa kazi mzuri na hata bila kosa lolote lile.

  Nilijaribu kuwaza na kuwazua mbona yanikumbe haya yote na jinsi nilivyojitahidi kuichapa kazi iliyobora
  zaidi.Nilihangaika sana kutafuta suluhisho kwa washauri mbalimbali nchini Tanzania kwa zaidi
  ya miaka kumi nisipate hata chembe ya suluhu ya tatizo langu.

  Ama kweli wapo wanaovuna wasipopanda kwani niligundua kwamba yupo mjomba wangu
  aliyewahi kunipeleka kwa mganga wakati nipo mdogo nisije nikafanikiwa maishani.

  Baada ya kugundua ilivyokuwa awali nilimweleza rafiki yangu mmoja wa dhati ambaye kiukweli
  aliniambia kisa kimoja alichowahi kukisoma kwenye makala fulani kuhusu huduma za Kiwanga
  doctors ambazo zilimtatulia bwana fulani matatizo kama niliyokuwa nayo.

  Bila kupoteza muda niliwasiliana na daktari mmoja wa Kiwanga doctors ambaye nilifanya miadi nae ili kukutana nae
  siku mbili zilizofuatia.
  Baada ya kukutana nae aliniambia kuwa tatizo langu lilikuwa dogo sana kwao na kuwa
  lingetatuliwa kwa muda wa siku mbili pekee.

  Sikuamini alichoniambia mpaka pale siku mbili hizo
  zilipopita ambapo nilipata simu chungu nzima kutoka hospitali mbalimbali wakihitaji huduma
  zangu.Niliamua kwenda kwa hospitali moja kubwa nchini Afrika Kusini ambapo nilifanya kazi na
  kukubalika na uongozi wa hospitali ile na hata kupandishwa madaraka mara kwa
  mara.

  Nimedumu kwenye kazi ile mpaka leo ni miaka kumi na miwili.
  Kwa kweli Kiwanga doctors wana uwezo mkubwa sana wakutatua matatizo mbalimbali kama vile msukumo wa damu, ugonjwa wa pumu,malaria ya mgongo miongoni mwa magonjwa
  mengine.

  Kwa habari zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia njia zao za mawasiliano kama vile Simu;
  +254 769404965 /Email; kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti
  www.kiwangadoctors.com.

  Previous articleRUVU SHOOTING HESABU ZAO HIZI HAPA
  Next articleWASHINDI WA MKWANJA WA JACKPOT WAVUNA MINOTI