
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umepokea taarifa kuhusu shauri la kesi ya mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na kubainisha kwamba maamuzi ya CAS wameyapokea ila hayapo upande wao. Pia Yanga wamewaomba mashabiki wa timu hiyo kusonga mbele na kuangalia mambo ya muhimu.
KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison imeelezzwa kuwa ameshinda kesi iliyopelekwa na Klabu ya Yanga katika Mahakama ya usuluhishi wa Michezo (CAS). Yanga walipeleka kesi hiyo CAS baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati ya Haki na Maadili na Hadhi ya Wachezaji ambayo ilitoa hukumu kuwa mkataba wa Yanga na Morrison ulikuwa na mapungufu hivyo ikaruhusu…
RAUNDI ya sita ilikuwa ni moto kila kona ambapo ulipigwa mpira mkubwa huku kila timu zikipambana kusepa na pointi tatu. Kwenye mechi nane jumla ya magoli yamefungwa 22 na mechi mbili zimetoa mabao mengi ilikuwa ni Ruvu Shooting 1-3 Simba na Mbeya City 3-1-dhidi ya Mtibwa Sugar jumla yamepatikana mabao manne Mechi ya mashuti mengi…
MKAZI wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 na kujishindia kiasi cha shilingi 11,049,185. Akizungumzia ushindi wake Juhudy amesema “Ninafuraha kubwa sana kuibuka mshindi kwani kupitia pesa hii itanisaidia kwenye mambo mbalimbali. “Nilianza kucheza na SportPesa tangu mwaka 2018…
NAMNA alivyoweza kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua Nilipoanza kuona dalili za kukosa kupata hewa ya kutosha kwenye mapafu yangu, nilidhani yakuwa ni homa ya kawaida ambayo ingeisha muda mfupi baadaye hivyo basi, sikuchukulia maanani kuenda hospitali kuweza kuangaliwa na madaktari na kuwezeshwa kupata matibabu. Mwezi mmoja baadaye, uchungu huo haukupungua bali uliongezeka kwa kiwango kikubwa, nilizidiwa…
BAADA ya Manchester United kumfuta kazi Ole Gunnar Solskjaer jina la Zinadine Zidane linatajwa kuwa miongoni mwa makocha watakaorithi mikoba ya kuinoa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Solskjaer mchezo wake wa mwisho kukaa kwenye benchi akiwa ni kocha mkuu ilikuwa ni dhidi ya Watford na alishuhudia timu hiyo ikipoteza kwa kufungwa mabao 4-1 na…
REKODI ya kipa namba moja wa Simba kuweza kucheza mechi nyingi bila kufungwa imetibuliwa na nyota wa Ruvu Shooting, Elias Maguli baada ya kumtungua walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba wakati ubao uliposoma Ruvu Shooting 1-3 Simba. Manula alikuwa ni namba moja kwa makipa ambao hawajafungwa kwenye mechi nyingi za Ligi Kuu Bara ambapo alikuwa amecheza…
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha PSG, Lionel Messi ameingia kwenye rekodi ya wale waliopata nafasi ya kufunga kwenye Ligi Kuu Ufaransa. Messi alifunga bao moja kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Nates na PSG iliweza kushinda kwa mabao 3-1 ikiwa nyumbani. Mshambuliaji huyo alijiunga na timu hiyo akitokea Klabu ya Barcelona na mwanzo wa msimu wa…
KUFUATIA ugumu wa maisha anaokutana nao katika timu ya RSB Berkane ya nchini Morocco, kiungo wa zamani wa Simba, raia wa Zambia, Clatous Chota Chama, sasa rasmi ameomba kurudi kwa mabosi wake wa zamani Simba. Chama aliachana na Simba, mwishoni mwa msimu ulipita akijiunga katika klabu ya RSB Berkane ya Morocco kwa mkataba wa miaka mitatu, akiwa sambamba na winga wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Tuisila…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
IKIWA Uwanja wa Uhuru, leo Novemba 21 Klabu ya Azam FC imepoteza pointi tatu mazima mbele ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa KMC kushinda ndani ya ligi kwa kuwa katika mechi tano zilizopita haikuwa inajua ushindi upoje kwa msimu wa 2021/22. Bao la kwanza lilipachikwa…
LEO Novemba 21, Klabu ya Simba imefanya Mkutano Mkuu na Wanachama ambao umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ambapo viongozi mbalimbali walikuwepo kwenye mkutano huo. Akisoma ripoti ya fedha ya bajeti ya mwaka uliopita wa 2020,Mkuu wa Kitengo cha Fedha,Utawala na Uendeshaji, Yusuph Nassor amesema kuwa kwenye bajeti ya mwaka uliopita…
SIMULIZI ya wezi waliorejesha ndinga waliyoiba Imepita miaka sita tangu gari langu aina ya Toyota Hilux lilipopotea nilijaribu juu chini kulitafuta lakini wapi halikupatikana,nakumbuka vizuri jinsi kisa hicho kilipotokea. Nilikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyakazi wa kawaida hadi nilipopandishwa madaraka hadi nikawa meneja. Maisha yangu yakachukua mkondo mwingine nikaanza…
RASMI leo Novemba 21 Klabu ya Manchester United imethbitisha kuachana na Ole Gunnar Solskjaer ambaye ataondoka ndani ya timu hiyo kwenye majukumu ya kuwa kocha baada ya kushindwa kushinda taji lolote ndani ya miaka mitatu na Michael Carrick atachukua mikoba yake kwa muda kabla ya kocha mpya kuchaguliwa atakayemaliza msimu huu wa 2021/22. Solskjaer alisaini…
UWANJA wa Uhuru leo unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kukata na shoka kati ya KMC, Wanakino Boys dhidi ya Azam FC hawa matajiri wa Dar. Utakuwa ni mchezo wa 7 kuwakutanisha kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo rekodi zinaonyesha kwamba Azam FC wamekuwa wababe mbele ya KMC. Azam FC ni mara tatu imeshinda huku…
MIRTAZA Mangungu, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuhakikisha kwamba wanashinda mataji. Simba ni mabingwa watetezi wa ligi wakiwa nafasi ya pili na pointi 14 huku Yanga wakiwa ni vinara wa ligi na wana pointi 16. Maneno hayo ameyasema katika mkutano mkuu wa Wanachama wa Simba ambao unafanyika…