
REKODI MWANZO MWISHO LIGI KUU BARA
RAUNDI ya sita ilikuwa ni moto kila kona ambapo ulipigwa mpira mkubwa huku kila timu zikipambana kusepa na pointi tatu. Kwenye mechi nane jumla ya magoli yamefungwa 22 na mechi mbili zimetoa mabao mengi ilikuwa ni Ruvu Shooting 1-3 Simba na Mbeya City 3-1-dhidi ya Mtibwa Sugar jumla yamepatikana mabao manne Mechi ya mashuti mengi…