
SIMULIZI YA ALIYEKUWA AKIPATA ADHABU KUTOKA KWA MKEWE
SIMULIZI ya jamaa aliyekuwa akipapata adhabu kutoka kwa mkewe Ama kwa hakika ndoa huwa rahisi kwa mtu ambaye hajawahi ingia kwenye ndoa. Kwa ufahamu wangu suala zima la ndoa ni ngumu sana haswa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na kazi nzuri kuliko wewe kama mume. Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo watu…