>

SIMULIZI YA ALIYEKUWA AKIPATA ADHABU KUTOKA KWA MKEWE

SIMULIZI ya jamaa aliyekuwa akipapata adhabu kutoka kwa mkewe

Ama kwa hakika ndoa huwa rahisi kwa mtu ambaye hajawahi ingia kwenye ndoa. Kwa ufahamu wangu
suala zima la ndoa ni ngumu sana haswa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na
kazi nzuri kuliko wewe kama mume.

Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo watu wengi huwa
hawazungumzii kwa undani kwa kuogopa kuchekwa na marafiki wao wa karibu wao husahau kwamba
wanapozungumza msaada unaweza kuja kwa wakati wowote.

Kati yao nilikuwa mwadhiriwa. Niliishi na
mke wangu Cate kwa furaha hadi wakati ambapo alianza kuninyoosha makonde nisijua hata pa
kukimbilia kila usiku.

Alikuwa ni mwanamke ambaye mwili ulikuwa umemkubali ajabu.
Alikuwa ni askari na mimi nilikuwa ni dalali wa kuuza maji mjini Kakamega. Marafiki zangu walinikataza wakati mmoja kwamba mwanamke yule angeniangusha lakini yote yalikuwa ni sikio la kufa.

Mapenzi yalikikuwa yamenoga na hakuna chochote nilikuwa nasikia isipokuwa Cate. Kila mara alipotoka kazini nilifika nyumbani na kuanza vurugu. Kwa vile nilikuwa na mwili mdogo
alinizaba nisijue hata la kufanya kwa vile ningekimbilia kwa majirani wangenicheka na kuniita
mwanaume bwege.

Maisha yale ya ndondi yalikuwa yamenifikisha ukingoni na sikuwa na chochote cha kufanya kwani upendo wangu kwa mke wangu ulikuwa kwenye wimbi lingine. Wakati mwingine hata
alinipa nguo zake nimfulie na hapo nilitilia maanani na kuzifua zikiwemo hata nguo zake za ndani.

Wakati mwingine majirani walimsifia kuwa alikuwa keshapata mume mzuri ambapo kwa mara nyingi waliniona hata nikufua mavazi ya mke wangu bila hata ya uoga na nisingefanya vile usiku ule ningelala kwenye baridi kali.

Mgeni alipoingia nyumbani mimi ndiye nilikuwa namwajibikia kupika chai na hata kumkaribisha nyumbani jambo lililokuwa kinyume na matarajio ya mila na desturi za waafrika.

Alikuwa Simba na kila mara nilipomuuliza alifoka kweli na kichapo kingefuatia. Hali hii iliniweka mimi kuanza kutamani wanawake wa watu.

Sikuwa na nafasi hata ya kwenda kuona mpira na marafiki wangu kwani siku moja niliona cha mtema kuni aliponipiga kwa sababu nilikuwa nimetoka kuangalia mchuano maridhawa kati ya Manchester united na Chelsea.

Sitasahau siku ile kwani uso wangu ulijaa makovu ya ndondi alininyoosha. Siku moja nilimtembelea rafiki yangu Kanini na
kumweleza shida nilizokuwa napitia kwenye ndoa ile.

Hakusita na kusema yeye pia alikuwa na shida sampuli ile lakini daktari Kiwanga baadaye mambo yaliisha. Siku iliyofuatia nilifunga safari na kuelekea kwa daktari Kiwanga kwa ajili ya usaidizi.

Niliilezea shida nikizokumbana nazo na bila ya
kupoteza muda wowote alinishughulikia na hapo akaniruhusu nirejee nyumbani.

Nilifahamu fika kwamba ningepigwa na mke wangu kwani nilikuwa nimechelewa kwani ilikuwa ni saa nne usiku nilipokuwa
naingia kwenye nyumba.

Nilishangaa kwani alinifungulia mlango kwa upole na kunikaribisha. Aliniandalia maji ya kuoga na hapo nilipotoka maliwatoni chakula cha jioni kilikuwa tayari. Alikuwa amevalia sketi fupi iliyonipa
msukumo wa kumrukia na kuanza shughuli nzima.

Ama kwa hakika daktari Kiwanga alikuwa kasha nipa
mwamko mpya kwenye ndoa yangu. Kwani mapenzi yalinoga ajabu na hapo nilipata. Baadaye mke wangu aliniomba msamaha na maisha yetu yakawa ya kutamaniwa na majirani.

Daktari Kiwanga ni mwanamitishamba ambaye ana uwezo wa kukabili azma za uchawi, mizozo ya kimapenzi kama
niliyokuwa nayo, na mengine kadhalika.

Nambari ya simu +254 769404965, barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama
Wavuti www.kiwangadoctors.com.