Home Sports RATIBA YA LIGI KUU BARA MZUNGUKO WA 7

RATIBA YA LIGI KUU BARA MZUNGUKO WA 7

LIGI Kuu Tanzania kwa sasa ni raundi ya 7 ambapo tayari ratiba ipo wazi na ratiba itakuwa namna hii.

Katika ligi vinara ni Yanga wakiwa na pointi 16 baada ya kucheza mechi huku Mtibwa Sugar wakiwa bado hawajafanikiwa kushinda ni wanaburuza mkia.

Previous articleSIMULIZI YA ALIYEKUWA AKIPATA ADHABU KUTOKA KWA MKEWE
Next articleSIMBA YAIPIGIA MATIZI RED ARROWS KWA MKAPA