
MKATABA WA SALAH KLOPP ANENA
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool ameweka wazi kuwa suala la mkataba wa mshambuliaji wake nyota Mohamed Salah raia wa Misri linahitaji muda. Kwa sasa kumekuwa na mvutano mkubwa kuhusu mkataba wa Salah ambaye amebakisha miezi 19 huku akitaka dau nono na mabosi hao wamekuwa wakionekana kuzingua kwa muda. Nyota huyo hivi karibuni akiwa nchini…