MOROCCO MABINGWA WA PAMOJA CHAN 2024

HATIMAYE Pamoja CHAN 2024 imegota mwisho na mabingwa wakiwa ni Morocco baada ya kuoata ushindi katika mchezo wa fainali, Agosti 30 2025. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Moi, Nairobi umesoma Madagascar 2-3 Morocco. Katika mchezo wa leo mabao ya Madagascar yamefungwa na Felly dakika ya 9 na bao la pili limefungwa na…

Read More

KANUNI KWA TIMU AMBAYO HAITAFIKA UWANJANI 2025/26

WAKATI kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC kikitarajiwa kuanza Septemba 17 2025, kuna maboresho ya kanuni kwa timu ambayo haitafika uwanjani bila sababu itakayokuwa inakubalika na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) Ni Kanuni ya 31, kutofika uwanjani inasema hivi:- Timu yoyote itakayokosa kufika uwanjani bila ya sababu za msingi zinazokubalika kwa TPLB…

Read More

YANGA SC KAMILI, MASHINE SITA ZAANZA KAZI

MASHINE za kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26 zimewasili ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz. Yanga SC ipo kambini Kigamboni kwa maandalizi ya msimu mpya ambapo mchezo wa ufunguzi ni Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC, Septemba 16 2025. Ni wachezaji…

Read More

FENERBAHÇE YAACHANA NA JOSE MOURINHO BAADA YA MWAKA MMOJA

Klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki imetangaza kuachana na kocha wake, Jose Mourinho, ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu kujiunga na timu hiyo. Hatua hiyo inakuja siku mbili baada ya Fenerbahçe kutolewa kwenye hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na klabu ya Ureno, Benfica. Kupitia taarifa rasmi, Fenerbahçe ilisema Mourinho na klabu wameafikiana kuvunja…

Read More

SIMBA SC YAMALIZANA NA BEKI MJESHI, KIPA WA CHAN

INATAJWA kuwa Simba SC imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya JKT Tanzania, Wilson Nangu kwa mkataba wa miaka miwili. Hivyo beki huyo aliyekuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga SC huenda msimu mpya wa 2025/26 akawa kwenye uzi wa Simba SC. Nangu amekuwa bora kwenye…

Read More

SIMBA SC NDANI YA DAR KAMILI KWA SIMBA DAY SEPTEMBA 10

KIKOSI cha Simba SC  kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kimewasili salama Jijini Dar es Salaam alfajiri ya saa 11 kikitokea Misri ambako kiliweka kambi ya msimu ujao wa 2025/26. Baada ya kuwasili kikosi cha Simba SC kinatarajia kuanza maandalizi mapema kuelekea kwenye mchezo wa Simba Day unaotarajiwa kuchezwa Septemba 10 2025 Uwanja wa Mkapa….

Read More

KIUNGO YANGA SC KUIBUKIA SINGIDA BLACK STARS

KHALID Aucho kiungo wa zamani wa Yanga SC inatajwa kuwa amefikia makubaliano mazuri na Singida Black kuelekea msimu wa 2025/26. Kiungo huyo ni moja ya wachezaji waliowahi kufundishwa na Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars. Anajiunga na Singida Black Stars ambayo inapeperusha bendera ya Tanzania kimataifa kwenye Kombe la…

Read More