ATHLETIC BILBAO VS RAYO VALLECANO: VITA YA POINTI 6 LALIGA

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kwako wewe kuondoka na ushindi?. Hapa unaweza ukachagua machaguo uyapendayo na kutengeneza jamvi lako na mechi uzipendazo. Liverpool, Bilbao, Inter wote wapo kwaajili yako. Tukianza na SUPER LIG kule Uturuki kuna mechi moja ya kuongeza kwa jamvi lako ambapo Eyupspor atamenyana dhidi ya Alanyaspor ambapo mwenyeji…

Read More

YANGA SC YAANZA KUISOMA SIMBA SC KUELEKEA KARIAKOO DABI

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC. Mchezo huo unasubiriwa kwa shauku kubwa unatarajiwa kuwa na ushindani ndani ya dakika 90 kwa wababe hao katika uwanja kusaka ushindi. Inaelezwa kuwa tayari Kocha Mkuu wa Yanga SC, raia wa Ufaransa, Romain Folz…

Read More

YANGA YAZINDUA JEZI MPYA MSIMU WA 2025/2026

Klabu ya Yanga imezindua rasmi jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa mashindano wa 2025/2026. Jezi mpya zimebeba mchanganyiko wa ubunifu wa kisasa na rangi za kijadi za klabu hiyo – kijani na njano – zikionyesha utambulisho wa mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania. Muundo mpya unalenga kuipa timu taswira ya kisasa zaidi, sambamba…

Read More

ATLETICO MADRID KUTAFUTA NAFUU BAADA YA KUPOTEZA MCHEZO ULIOPITA, BUNDESLIGA, SERIE A, EPL KITAWAKA!

Ushindi mnono upo Jumamosi ya leo na kampuni kubwa ya ubashiri ya Meridianbet. Tengeneza jamvi lako lenye mechi nyingi sana huku machaguo zaidi ya 1000 yakiwa yanakusubiri. Napoli, City, Barcelona na wengine kibao wanakungoja. BUNDESLIGA kule Ujerumani  kuendelea Bayer Leverkusen chini ya Ten Hag watamleta nyumbani kwao TSG Hoffenheim ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS…

Read More

USIKU WA MABINGWA, PLAYSON SHORT RACES

Usiku wa mabingwa ndo huu sasa. Hatuongelei usiku wa ligi ya mabingwa Ulaya bali huu ni usiku wa Playson Short Races. Fikiria usiku ukiwa umetulia, muda ni saa 4:00 usiku. Unacheza mizunguko yako kwenye sloti za Playson, na ghafla jina lako linaanza kupanda kwenye leaderboard. Kila mzunguko unakuwa ni hatua moja mbele kuelekea kwenye ushindi…

Read More

TANZANIA KWENYE VITA UWANJANI NA MOROCCO CHAN 2024

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Agosti 22 2025 ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Morocco ikiwa ni CHAN 2024. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa mbili usiku huku benchi la ufundi la Stars likibainisha kuwa lipo tayari kuhakikisha matokeo yanapatikana ndani ya…

Read More

SIMBA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO MAEMA

Nyota mpya Simba SC, raia wa Afrika Kusini Neo Maema ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi hicho Agosti 21 2025 kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Huyu ni kiungo mshambuliaji ambaye yupo na timu kambini nchini Misri alikuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini, maarufu kwa jina la Bafanabafana kwenye CHAN 2024. Nyota huyo…

Read More