Iran 2-0 Tanzania, mchezo wa kirafiki wa kimataifa
HEMED Morocco, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa makosa binafsi yameigharimu timu kupoteza katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Iran. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Iran 2-0 Tanzania, mabao yakifungwa na Amirhossen Hosseinzadeh dakika ya 17 kwa mkwaju wa penalti na Mohammad Mohebi dakika ya 26. Morocco amesema kuwa walianza…