
ISHU YA UBINGWA MABOSI SIMBA WAKAA KIKAO NA PABLO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ulikaa kikao na Kocha Mkuu, Pablo Franco kujadili malengo ya timu hiyo ikiwa ni pamoja na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara Kocha huyo jana Desemba 5 likiongoza kikosi hicho ugenini kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Red Arrows na aliweza kuipeleka timu hiyo hatua ya makundi….