
AZAM WATANGAZA ABDI KUWA KOCHA MKUU
Klabu ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina. Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana. “Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina…