
NKANE NA YANGA NI SUALA LA MUDA TU
NYOTA wa Biashara United, Denis Nkane na Yanga kwa sasa unaweza kusema kilichobaki ni suala la muda tu kutambulishwa. Jana alikuwa na kazi ya kupambania timu yake ya Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC na waliweza kugawana pointi mojamoja. Kwenye mchezo huo ni yeye aliweza kufunga bao la pili…