KOCHA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC

BAADA ya Hitimana Thiery aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba kuamua kuachana na mabosi hao anatajwa kuibukia Namungo FC. Desemba 28,2021 Simba walitangaza rasmi kufikia makubaliano ya kuachana na kocha huyo. Kwa sasa Namungo FC ipo kwenye hatua za mwisho kuweza kumtambulisha kocha wa timu hiyo baada ya Hemed Morocco kubwaga manyanga kutokana na timu hiyo…

Read More

MAYANGA:TUNAPAMBANA KWA AJILI YA TIMU

VITALIS Mayanga mshambuliaji namba moja wa Polisi Tanzania amesema kuwa wanapambana kwenye kila mechi ili kuwea kupata matokeo chanya kwa ajili ya timu. Polisi Tanzania imekuwa kwenye mwendo mzuri msimu wa 2021/22 huku Mayanga akiwa amejenga ushkaji na nyavu kwa kuwa amekuwa akifunga na kutengeneza pasi za mabao. Ikiwa imecheza mechi 11 na kufunga mabao…

Read More

MUKOKO AINGIA ANGA ZA SIMBA,ATAJWA KUTOKUWA NA FURAHA

IMEELEZWA kuwa kiungo mkabaji ndani ya kikosi cha Yanga, Mkukoko Tonombe amegomea mkataba mpya kwa ajili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mukoko ndani ya Yanga kwa sasa amepoteza nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza msimu huu kutokana na uwepo wa Khalid Aucho na Yanick Bangala ambao wamesajiliwa msimu huu. Wakati Mukoko akiwa kwenye hatihati kubaki Yanga, taarifa kutoka Simba zinadai kwamba, tayari uongozi wa klabu…

Read More

SIMBA YAIVUTIA KASI AZAM FC

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimeendelea kuivutia kasi Azam FC. Mchezo wao wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Januari Mosi 2022 na utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili wa ushindani kwa mwaka huo mpya. Leo Desemba 29 kikosi cha Simba kimefanya mazoezi Uwanja wa Bunju Complex ikiwa ni…

Read More

MSHERY ATAMBULISHWA RASMI YANGA

BREAKING: ABOUTWALIB Mshery ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya kuungana na timu hiyo kwa kazi kwa msimu wa 2021/22. Anaibuka ndani ya Yanga akitokea Klabu ya Mtibwa Sugar wakati huu wa usajili wa dirisha dogo ambalo limezidi kushika kasi kwa timu za Bongo Anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa ndani ya Yanga…

Read More

ISHU YA KIPA MPYA YANGA MENGINE YAIBUKA

WAKATI Yanga ikitajwa kwamba imemalizana na kipa namba moja wa Mtibwa Sugar, Aboutwalib Msheri kujiunga na Yanga, mabosi wa Mtibwa Sugar wameweka wazi kuwa badO mchezaj huyo ni mali yao na hawajamuuza. Hapo awali, Yanga ilizungumza na Msheri na Mtibwa kuhusu kumvuta mitaa ya Jangwani lakini Mtibwa waliweka ngumu wakidai kuwa bado wanamuhitaji kipa huyo…

Read More

KICHAPO CHA LIVERPOOL CHAMUIBUA KLOPP

JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hajapendezwa na matokeo ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa mbele ya Leicester City. Usiku wa kuamkia leo Desemba 29 ubao wa Uwanja wa King Power ulisoma Leicester City 1-0 Liverpool. Bao la Ademola Lookman dakika ya 59 lilitosha kuwapa pointi tatu mazima. Licha ya Liverpool kupiga jumla…

Read More

SIMBA YATAKA KUSEPA NA MAKOMBE YAO

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa Simba ipo imara na hesabu kubwa ni kutimiza malengo waliyojiwekea kutokana na wachezaji walionao kujituma. Kwa sasa Simba inapambana kuweza kutetea taji lake ililotwaa msimu uliopita wakivutana kwa kasi na vinara wa ligi ambao ni Yanga wenye pointi 26 huku Simba wakiwa nafasi ya pili na pointi 21….

Read More